Kitugun

Kitugun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watugun kwenye kisiwa cha Wetar. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kitugun imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitugun iko katika kundi la Kitimor-Babar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search